Mwizi Wa Mtoto Anaswa

Mwizi Wa Mtoto Anaswa

Download Cepat Dengan Aplikasi

Name:Mwizi Wa Mtoto Anaswa
Genre:Unknown
Date:20 January 2014
Duration:00:02:54
View:35K
Like:35
Dis Like:11
Type:Youtube to Mp3
Bitrate:128kbps
User:Kenya CitizenTV
Source:Youtube

Familia moja katika eneo la Utawala hapa jijini Nairobi limempoteza mtoto wao baada ya mfanyakazi wao wa nyumbani kutoweka naye. Kulingana na baba ya mtoto huyo, mfanyakazi huyo alikuwa amewafanyia kazi kwa siku moja pekee kabla ya kutekeleza uhalifu huo tarehe 15 mwezi huu.


Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Google+

Related Posts: